Baada ya Hillary Clinton kushindwa katika
TI na Donald Trump
Wasanii mbalimbali wameonesha kuguswa na
uchaguzi huo, huku wengine wakionesha kuwa tofauti na matokeo hayo.
Rapa T.I kwa upande wake alimpa pole rais
ambaye ana maliza muda wake, Barack Obama, kwa mteja wake kushindwa katika uchaguzi huo.
“Pole kwa matokeo ambayo
kuna baadhi ya watu hawakuyatarajia, lakini tunafurahi tulikuwa na wewe
kwa kipindi chote, lakini sasa tunasubiri kinachofuata,” alisema T.I.
Sasa Rapa wa ATL mtu mzima TI, amewataka wapenzi wa muziki wanao msapoti Rais Mteule Donald Trump kuacha kununua nyimbo zake.
TI ameuambia mtandao wa kidaku TMZ kuwa,
haoni faida ya kuwa na mashabiki wanao sapoti Sera za kibaguzi.
“Acha niseme tu kama una msapoti Donald Trump usijihusishe na muziki wangu, wapeni habari.” aliiambia TMZ.
No comments:
Post a Comment