Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakitoa heshima za mwisho kwa Spika
Mstaafu, marehemu Samuel Sitta kabla ya mazishi yake yaliyofanyika jana
Urambo mkoani Tabora
Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y. Ndugai akitoa
heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa Marehemu
Samuel Sitta wakati wa mazishi wa Spika huyo Mstaafu.
Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia
Ackson akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Spika wa Bunge la
Tisa Marehemu Samuel Sitta wakati wa mazishi wa Spika huyo Mstaafu.
Anayefuatia ni Mkuu wa Kambi ya upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa
CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe.
No comments:
Post a Comment